Wed May 10 2023 17:23:59 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
a3cf979f08
commit
05e4aa0f73
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\c 131 \v 1 Yahwe, moyo wangu haujivuni wala macho yangu hayana kiburi. Sina matarajio makubwa kwa ajili yangu mwenyewe wala kujihofia kwa mambo ambayo yako juu ya uwezo wangu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 2 Hakika nimejituliza na kuinyamazisha nafsi yangu; kama mtoto aliyeachishwa na mama yake, nafsi yangu ndani yangu iko kama mtoto aliye achishwa. \v 3 Israeli umtumainie Yahwe sasa na hata milele.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\c 132 \v 1 Yahwe, kwa ajili ya Daudi kumbuka mateso yake yote. \v 2 Kumbuka ndiye aliye mwapia Yahwe, aliweka nadhiri kwa Shujaa wa Yakobo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 3 Alisema, sitaingia nyumbani mwangu wala sitaenda kitandani mwangu, \v 4 Sitayapa macho yangu usingizi, wala kope zangu kupumzika, \v 5 mpaka nitakapopata mahali kwa ajili ya Yahwe, na maskani kwa ajili ya Shujaa wa Yakobo."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
Sura 132
|
|
@ -914,6 +914,11 @@
|
||||||
"130-05",
|
"130-05",
|
||||||
"130-07",
|
"130-07",
|
||||||
"131-title",
|
"131-title",
|
||||||
|
"131-01",
|
||||||
|
"131-02",
|
||||||
|
"132-title",
|
||||||
|
"132-01",
|
||||||
|
"132-03",
|
||||||
"141-title",
|
"141-title",
|
||||||
"141-01",
|
"141-01",
|
||||||
"141-03",
|
"141-03",
|
||||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue