sw_psa_text_ulb/77/13.txt

1 line
261 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 13 Njia yako, Mungu, ni takatifu; ni mungu gani wa kulinganishwa na Mungu wetu aliye mkuu? \v 14 Wewe ni Mungu utendaye maajabu; wewe umeonyesha nguvu zako kati ya mataifa. \v 15 Uliwapa watu wako ushindi kwa uweza wako mkuu - ukoo wa Yakobo na Yusufu. Selah