sw_psa_text_ulb/105/07.txt

1 line
148 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 7 Yeye ni Yahwe, Mungu wetu. Amri zake ziko juu ya nchi yote. \v 8 Naye hulikumbuka agano lake milele, neno alilo amuru kwa ajili ya vizazi elfu.