sw_psa_text_ulb/109/14.txt

1 line
350 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 14 Uovu wa baba zake utajwe kwa Yahwe; na dhambi ya mama yake isisahaulike. \v 15 Hatia zao na ziwe mbele ya Yahwe siku zote; Yahwe na aiondoe kumbukumbu yao duniani. \v 16 Yahwe na afanye hivi kwa sababu mtu huyu kamwe hakusumbuka kuonesha uaminifu wa agano wowote, lakini badala yake aliwasumbua wanyonge, wahitaji, na kuwaua walio vunjika moyo.