1 line
227 B
Plaintext
1 line
227 B
Plaintext
|
\v 28 Kisha walimlilia Yahwe katika shida yao, naye akawatoa katika dhiki yao. \v 29 Aliituliza dhoruba, na mawimbi yakatulia. \v 30 Ndipo walifurahia kwa sababu bahari ilikuwa shwali, na aliwaleta kwenye bandari waliyoitamani.
|