sw_psa_text_ulb/144/05.txt

1 line
160 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 5 Ee Yahwe uziinamishe mbingu na ushuke chini, uiguse milima na uifanye kutoa moshi. \v 6 Utume umeme uwatawanye adui zangu; upige mishale yako na uwavuruge.