sw_psa_text_ulb/68/26.txt

1 line
209 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 26 Mtukuzeni Mungu katika kusanyiko; msifuni Yahwe, ninyi ukoo wa kweli wa Israeli. \v 27 Kuna Benjamini kwanza, kabila dogo, kisha viongozi wa Yuda na watu wao, viongozi wa Zabuloni na viongozi wa Naftali.