Sat Apr 22 2023 15:31:34 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
6f5043ea22
commit
e18bae74ff
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 5 5 Mtu huyo Mika alikuwa na nyumba ya sanamu, naye akafanya efodi na nyumba ya miungu, naye akaajiri mmoja wa wanawe awe mkuhani wake. \v 6 6 Siku hizo hapakuwa na mfalme huko Israeli, na kila mtu alifanya yaliyo sawa machoni pake.
|
||||
\v 5 Mtu huyo Mika alikuwa na nyumba ya sanamu, naye akafanya efodi na nyumba ya miungu, naye akaajiri mmoja wa wanawe awe mkuhani wake. \v 6 Siku hizo hapakuwa na mfalme huko Israeli, na kila mtu alifanya yaliyo sawa machoni pake.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 7 7 Kisha kulikuwa na kijana mmoja wa Bethlehemu huko Yuda, wa jamaa ya Yuda, ambaye alikuwa Mlawi. Alikaa huko ili kutimiza majukumu yake. \v 8 8 Mtu huyo aliondoka Bethlehemu huko Yuda kwenda kutafuta mahali pa kuishi. Alipokuwa akienda, afika nyumbani kwa Mika katika nchi ya mlima wa Efraimu. \v 9 9 Mika akamwambia, "Unatoka wapi?" Huyo mtu akamwambia, "Mimi ni Mlawi wa Bethlehemu huko Yuda, ninakwenda kutafuta mahali nipate kuishi."
|
||||
\v 7 Kisha kulikuwa na kijana mmoja wa Bethlehemu huko Yuda, wa jamaa ya Yuda, ambaye alikuwa Mlawi. Alikaa huko ili kutimiza majukumu yake. \v 8 Mtu huyo aliondoka Bethlehemu huko Yuda kwenda kutafuta mahali pa kuishi. Alipokuwa akienda, afika nyumbani kwa Mika katika nchi ya mlima wa Efraimu. \v 9 Mika akamwambia, "Unatoka wapi?" Huyo mtu akamwambia, "Mimi ni Mlawi wa Bethlehemu huko Yuda, ninakwenda kutafuta mahali nipate kuishi."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 10 10 Mika akamwambia, "Kaa pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu. Nitakupa vipande kumi vya fedha kwa mwaka, suti ya nguo, na chakula chako." Basi Mlawi akaingia nyumbani mwake. \v 11 11 Mlawi alikuwa na furaha ya kuishi na mtu huyo, na huyo kijana kwa Mika akawa kama mmoja wa wanawe.
|
||||
\v 10 Mika akamwambia, "Kaa pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu. Nitakupa vipande kumi vya fedha kwa mwaka, suti ya nguo, na chakula chako." Basi Mlawi akaingia nyumbani mwake. \v 11 Mlawi alikuwa na furaha ya kuishi na mtu huyo, na huyo kijana kwa Mika akawa kama mmoja wa wanawe.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 12 12 Mika akamtenga Mlawi kwa ajili ya kazi takatifu, na huyo kijana akawa kuhani wake, naye alikuwa katika nyumba ya Mika. \v 13 13 Ndipo Mika akasema, "Sasa najua ya kuwa Bwana atanifanyia mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu."
|
||||
\v 12 Mika akamtenga Mlawi kwa ajili ya kazi takatifu, na huyo kijana akawa kuhani wake, naye alikuwa katika nyumba ya Mika. \v 13 Ndipo Mika akasema, "Sasa najua ya kuwa Bwana atanifanyia mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 18 \v 1 1 Siku hizo hapakuwa na mfalme huko Israeli. Kabila la Wadani lilikuwa linatafuta makazi ya kuishi, kwa maana mpaka siku hiyo hawakupokea urithi wowote kutoka miongoni mwa makabila ya Israeli. \v 2 2 Watu wa Dani walituma watu watano kutoka kwa idadi yote ya kabila lao, wanaume wenye ujasiri kutoka Sora na kutoka Eshtaoi, ili kukagua ardhi kwa miguu, na kuiangalia. Wakawaambia, "Nendeni mkaangalie nchi." Wakafika nchi ya mlima wa Efraimu, kwa nyumba ya Mika wakalala huko.
|
||||
\c 18 \v 1 Siku hizo hapakuwa na mfalme huko Israeli. Kabila la Wadani lilikuwa linatafuta makazi ya kuishi, kwa maana mpaka siku hiyo hawakupokea urithi wowote kutoka miongoni mwa makabila ya Israeli. \v 2 Watu wa Dani walituma watu watano kutoka kwa idadi yote ya kabila lao, wanaume wenye ujasiri kutoka Sora na kutoka Eshtaoi, ili kukagua ardhi kwa miguu, na kuiangalia. Wakawaambia, "Nendeni mkaangalie nchi." Wakafika nchi ya mlima wa Efraimu, kwa nyumba ya Mika wakalala huko.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 3 3 Walipokuwa karibu na nyumba ya Mika, walitambua maneno ya Mlawi. Basi wakasimama na kumwuliza, "Nani alikuleta hapa? Unafanya nini hapa? Kwa nini uko hapa?" \v 4 4 Akawaambia, "Hivi ndivyo Mika amefanya kwa ajili yangu. Yeye aliniajiri mimi kuwa kuhani wake."
|
||||
\v 3 Walipokuwa karibu na nyumba ya Mika, walitambua maneno ya Mlawi. Basi wakasimama na kumwuliza, "Nani alikuleta hapa? Unafanya nini hapa? Kwa nini uko hapa?" \v 4 Akawaambia, "Hivi ndivyo Mika amefanya kwa ajili yangu. Yeye aliniajiri mimi kuwa kuhani wake."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 5 5 Wakamwambia, "Tafadhali tafuta ushauri kwa Mungu, ili tuweze kujua kama safari tunayoendea itafanikiwa." \v 6 6 Kuhani huyo akawaambia, "Nenda kwa amani. Bwana atakuongoza katika njia unayoiendea."
|
||||
\v 5 Wakamwambia, "Tafadhali tafuta ushauri kwa Mungu, ili tuweze kujua kama safari tunayoendea itafanikiwa." \v 6 Kuhani huyo akawaambia, "Nenda kwa amani. Bwana atakuongoza katika njia unayoiendea."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 7 7 Kisha wale watu watano wakaondoka na wakafika Laishia, na waliona watu waliokuwa pale waliishi salama- vivyo hivyo Wasidoni waliishi bila kusumbuliwa na kwa usalama. Hapakuwa na mtu aliyewashinda katika nchi hiyo, au aliyewasumbua kwa namna yoyote. Waliishi mbali na Wasidoni, na hawakuwa na ushirikiano na mtu yeyote. \v 8 8 Walirudi kwa kabila lao huko Zora na Eshtaol. Ndugu zao waliwauliza, "Mna habari gani?"
|
||||
\v 7 Kisha wale watu watano wakaondoka na wakafika Laishia, na waliona watu waliokuwa pale waliishi salama- vivyo hivyo Wasidoni waliishi bila kusumbuliwa na kwa usalama. Hapakuwa na mtu aliyewashinda katika nchi hiyo, au aliyewasumbua kwa namna yoyote. Waliishi mbali na Wasidoni, na hawakuwa na ushirikiano na mtu yeyote. \v 8 Walirudi kwa kabila lao huko Zora na Eshtaol. Ndugu zao waliwauliza, "Mna habari gani?"
|
|
@ -285,7 +285,15 @@
|
|||
"16-30",
|
||||
"17-01",
|
||||
"17-03",
|
||||
"17-05",
|
||||
"17-07",
|
||||
"17-10",
|
||||
"17-12",
|
||||
"18-title",
|
||||
"18-01",
|
||||
"18-03",
|
||||
"18-05",
|
||||
"18-07",
|
||||
"19-title",
|
||||
"20-title"
|
||||
]
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue