Sat Apr 22 2023 14:33:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-22 14:33:35 +03:00
parent 1c10a90f97
commit 99b645fb07
8 changed files with 13 additions and 7 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 28 Akawaambia, "Nifuate, kwa kuwa Bwana atawashinda adui zenu, Wamoabu." Wakamfuata, wakakamata vivuko vya Bonde la Yordani, toka kwa Wamoabi, wala hawakuruhusu mtu yeyote kuvuka mto. \v 29 29 Wakati huo waliwaua watu 10,000 wa Moabu, na wote walikuwa watu wenye nguvu na wenye uwezo. Hakuna aliyekimbia. \v 30 30 Kwa hiyo siku hiyo Moabu ilishindwa na nguvu ya Israeli. Na nchi ilikuwa na amani kwa miaka themanini.
\v 28 Akawaambia, "Nifuate, kwa kuwa Bwana atawashinda adui zenu, Wamoabu." Wakamfuata, wakakamata vivuko vya Bonde la Yordani, toka kwa Wamoabi, wala hawakuruhusu mtu yeyote kuvuka mto. \v 29 Wakati huo waliwaua watu 10,000 wa Moabu, na wote walikuwa watu wenye nguvu na wenye uwezo. Hakuna aliyekimbia. \v 30 Kwa hiyo siku hiyo Moabu ilishindwa na nguvu ya Israeli. Na nchi ilikuwa na amani kwa miaka themanini.

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 31 Baada ya Ehudi, mwamuzi aliyefuata alikuwa Shamgari mwana wa Anathi ambaye aliwaua Wafilisti 600 kwa konzo la ng'ombe. Pia aliwaokoa Israeli kutoka kwenye hatari.
\v 31 Baada ya Ehudi, mwamuzi aliyefuata alikuwa Shamgari mwana wa Anathi ambaye aliwaua Wafilisti 600 kwa konzo la ng'ombe. Pia aliwaokoa Israeli kutoka kwenye hatari.

View File

@ -1 +1 @@
\c 4 \v 1 1 Baada ya Ehudi kufa, watu wa Israeli walifanya tena yaliyo mabaya machoni pa Bwana. \v 2 2 Bwana akawatia mkononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani, aliyetawala huko Hazori. Kamanda wa jeshi lake aitwaye Sisera, naye aliishi Harosheti ya Mataifa. \v 3 3 Wana wa Israeli wakamwomba Bwana awasaidie, kwa sababu Sisera alikuwa na magari ya chuma 900 na akawashinda wana wa Israeli kwa nguvu kwa miaka ishirini.
\c 4 \v 1 Baada ya Ehudi kufa, watu wa Israeli walifanya tena yaliyo mabaya machoni pa Bwana. \v 2 Bwana akawatia mkononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani, aliyetawala huko Hazori. Kamanda wa jeshi lake aitwaye Sisera, naye aliishi Harosheti ya Mataifa. \v 3 Wana wa Israeli wakamwomba Bwana awasaidie, kwa sababu Sisera alikuwa na magari ya chuma 900 na akawashinda wana wa Israeli kwa nguvu kwa miaka ishirini.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 4 Basi Debora, nabii wa kike (mke wa Lapidothi), alikuwa mwamuzi anayeongoza katika Israeli wakati huo. \v 5 5 Naye aliketi chini ya mtende wa Debora kati ya Rama na Betheli katika nchi ya mlima wa Efraimu, na watu wa Israeli walimwendea ili kutatua migogoro yao.
\v 4 Basi Debora, nabii wa kike (mke wa Lapidothi), alikuwa mwamuzi anayeongoza katika Israeli wakati huo. \v 5 Naye aliketi chini ya mtende wa Debora kati ya Rama na Betheli katika nchi ya mlima wa Efraimu, na watu wa Israeli walimwendea ili kutatua migogoro yao.

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 6 Akamtuma Baraka mwana wa Abinoamu kutoka Kedeshi huko Naftali. Akamwambia, "Bwana, Mungu wa Israeli, anakuamuru, 'Nenda katika mlima wa Tabori, uende pamoja nawe watu 10,000 kutoka Naftali na Zabuloni. \v 7 7 Nitamfukuza Sisera, jemadari wa jeshi la Yabini, akutane nawe karibu na mto Kishoni, pamoja na magari yake na jeshi lake, na nitakupa ushindi juu yake.'"
\v 6 Akamtuma Baraka mwana wa Abinoamu kutoka Kedeshi huko Naftali. Akamwambia, "Bwana, Mungu wa Israeli, anakuamuru, 'Nenda katika mlima wa Tabori, uende pamoja nawe watu 10,000 kutoka Naftali na Zabuloni. \v 7 Nitamfukuza Sisera, jemadari wa jeshi la Yabini, akutane nawe karibu na mto Kishoni, pamoja na magari yake na jeshi lake, na nitakupa ushindi juu yake.'"

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 8 Baraka akamwambia, "Ikiwa utakwenda nami, nitakwenda, lakini ikiwa huendi pamoja nami, sitaenda." \v 9 9 Alisema, "Nitakwenda nawe. Hata hivyo, njia unayoienda haitakupa heshima wewe, kwa kuwa Bwana atamuuza Sisera mkononi mwa mwanamke." Ndipo Debora akainuka, akaenda pamoja na Baraka Kedeshi.
\v 8 Baraka akamwambia, "Ikiwa utakwenda nami, nitakwenda, lakini ikiwa huendi pamoja nami, sitaenda." \v 9 Alisema, "Nitakwenda nawe. Hata hivyo, njia unayoienda haitakupa heshima wewe, kwa kuwa Bwana atamuuza Sisera mkononi mwa mwanamke." Ndipo Debora akainuka, akaenda pamoja na Baraka Kedeshi.

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 10 Baraki akawaita wana wa Zebuloni na Naftali kusanyika Kedeshi. Watu 10,000 walimfuata, na Debora akaenda pamoja naye.
\v 10 Baraki akawaita wana wa Zebuloni na Naftali kusanyika Kedeshi. Watu 10,000 walimfuata, na Debora akaenda pamoja naye.

View File

@ -77,7 +77,13 @@
"03-21",
"03-24",
"03-26",
"03-28",
"03-31",
"04-title",
"04-01",
"04-04",
"04-06",
"04-08",
"05-title",
"06-title",
"07-title",