Sat Apr 22 2023 15:01:34 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
f63a8c57b2
commit
40c29690e2
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 26 26 Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilikuwa shekeli 1, 700 za dhahabu. Nyara hizi zilikuwa ni pamoja na mapambo ya makoja, vidani, nguo ya rangi ya zambarau waliyovaa na wafalme wa Midiani, na zaidi ya minyororo iliyokuwa karibu na shingo za ngamia zao.
|
||||
\v 26 Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilikuwa shekeli 1, 700 za dhahabu. Nyara hizi zilikuwa ni pamoja na mapambo ya makoja, vidani, nguo ya rangi ya zambarau waliyovaa na wafalme wa Midiani, na zaidi ya minyororo iliyokuwa karibu na shingo za ngamia zao.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 27 27 Gideoni akafanya efodi kutoka katika pete na kuiweka katika mji wake, huko Ofra, na Israeli wote wakaiandama kwa ukahaba na kuabudu. Ilikuwa mtego kwa Gideoni na kwa wale walio nyumbani kwake. \v 28 28 Kwa hiyo Midiani ilishindwa mbele ya watu wa Israeli na hawakuinua vichwa vyao tena. Na nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini siku za Gideoni.
|
||||
\v 27 Gideoni akafanya efodi kutoka katika pete na kuiweka katika mji wake, huko Ofra, na Israeli wote wakaiandama kwa ukahaba na kuabudu. Ilikuwa mtego kwa Gideoni na kwa wale walio nyumbani kwake. \v 28 Kwa hiyo Midiani ilishindwa mbele ya watu wa Israeli na hawakuinua vichwa vyao tena. Na nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini siku za Gideoni.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 29 29 Yerubaali, mwana wa Yoashi, akaenda akakaa nyumbani kwake. \v 30 30 Gideoni alikuwa na wana sabini, waliokuwa uzao wake, kwa kuwa alikuwa na wake wengi. \v 31 31 Mwanamke wake, aliyekuwa Shekemu, akamzaa pia mwana, na Gideoni akampa jina lake Abimeleki.
|
||||
\v 29 Yerubaali, mwana wa Yoashi, akaenda akakaa nyumbani kwake. \v 30 Gideoni alikuwa na wana sabini, waliokuwa uzao wake, kwa kuwa alikuwa na wake wengi. \v 31 Mwanamke wake, aliyekuwa Shekemu, akamzaa pia mwana, na Gideoni akampa jina lake Abimeleki.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 32 32 Gideoni, mwana wa Yoashi, akafa katika uzee mzuri, akazikwa huko Ofra katika kaburi la baba yake Yoashi, wa jamaa ya Abiyezeri. \v 33 33 Ikawa, Gideoni alipokufa, watu wa Israeli wakageuka tena na kujifanyia ukahaba wenyewe kwa kuabudu Mabaali. Walimfanya Baali Berith kuwa mungu wao.
|
||||
\v 32 Gideoni, mwana wa Yoashi, akafa katika uzee mzuri, akazikwa huko Ofra katika kaburi la baba yake Yoashi, wa jamaa ya Abiyezeri. \v 33 Ikawa, Gideoni alipokufa, watu wa Israeli wakageuka tena na kujifanyia ukahaba wenyewe kwa kuabudu Mabaali. Walimfanya Baali Berith kuwa mungu wao.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 34 34 Watu wa Israeli hawakukumbuka kumtukuza Bwana, Mungu wao, aliyewaokoa kutoka kwa mikono ya adui zao kila upande. \v 35 35 Hawakuweka ahadi zao kwa nyumba ya Yerubaali (yaani Gideoni), kwa ajili ya mema yote aliyoyafanya katika Israeli.
|
||||
\v 34 Watu wa Israeli hawakukumbuka kumtukuza Bwana, Mungu wao, aliyewaokoa kutoka kwa mikono ya adui zao kila upande. \v 35 Hawakuweka ahadi zao kwa nyumba ya Yerubaali (yaani Gideoni), kwa ajili ya mema yote aliyoyafanya katika Israeli.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 3 3 Ndugu za mama yake waliongea kwa niaba yake kwa viongozi wa Shekemu, nao wakakubali kumfuata Abimeleki, wakasema, Yeye ndiye ndugu yetu. \v 4 4 Wakampa vipande sabini vya fedha katika nyumba ya Baali Berith; Abimeleki akazitumia kwa kuajiri watu wasio na sheria na waliokuwa wajinga, waliomfuata.
|
||||
\v 3 Ndugu za mama yake waliongea kwa niaba yake kwa viongozi wa Shekemu, nao wakakubali kumfuata Abimeleki, wakasema, Yeye ndiye ndugu yetu. \v 4 Wakampa vipande sabini vya fedha katika nyumba ya Baali Berith; Abimeleki akazitumia kwa kuajiri watu wasio na sheria na waliokuwa wajinga, waliomfuata.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 5 5 Abimeleki akaenda nyumbani kwa baba yake huko Ofra; na juu ya jiwe moja akawaua ndugu zake sabini, wana wa Yerubaali. Yotamu ndiye aliyebaki, mwana mdogo kabisa wa Yerubaali, kwa kuwa alijificha. \v 6 6 Wakuu wote wa Shekemu na Beth Milo wakaungana, wakaenda kumfanya Abimeleki mfalme, karibu na mwaloni karibu na nguzo iliyoko Shekemu.
|
||||
\v 5 Abimeleki akaenda nyumbani kwa baba yake huko Ofra; na juu ya jiwe moja akawaua ndugu zake sabini, wana wa Yerubaali. Yotamu ndiye aliyebaki, mwana mdogo kabisa wa Yerubaali, kwa kuwa alijificha. \v 6 Wakuu wote wa Shekemu na Beth Milo wakaungana, wakaenda kumfanya Abimeleki mfalme, karibu na mwaloni karibu na nguzo iliyoko Shekemu.
|
|
@ -164,7 +164,15 @@
|
|||
"08-18",
|
||||
"08-20",
|
||||
"08-22",
|
||||
"08-24",
|
||||
"08-26",
|
||||
"08-27",
|
||||
"08-29",
|
||||
"08-32",
|
||||
"08-34",
|
||||
"09-title",
|
||||
"09-01",
|
||||
"09-03",
|
||||
"10-title",
|
||||
"11-title",
|
||||
"12-title",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue