Mon Sep 04 2023 15:53:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-04 15:53:31 +03:00
parent 5dbf934e76
commit 5b6c2bd37b
6 changed files with 11 additions and 1 deletions

1
08/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Kwa kusema "Mpya," amelifanya agano la kwanza kuwa kuukuu. Na hilo ambalo amelitangaza kuwa kuukuu liko tayari kutoweka.

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 9 \v 1 Sasa hata agano la kwanza lilikuwa na sehemu ya ibada hapa duniani na taratibu za ibada. \v 2 Kwani katika hema kulikuwa na chumba kimeandaliwa, chumba cha nje, paliitwa mahali patakatifu. Katika eneo hili palikuwa na kinara cha taa, meza na mikate ya wonyesho.

1
09/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Na nyuma ya pazia la pili kulikuwa na chumba kingine, paliitwa mahali patakatifu zaidi. \v 4 Mlikuwemo madhabahu ya dhahabu kwa kuvukizia uvumba. Pia mlikuwemo sanduku la agano, ambalo lilikuwa limejengwa kwa dhahabu tupu. Ndani yake kulikuwa na bakuli la dhahabu lenye manna, fimbo ya Haruni iliyoota majani, na zile mbao za mawe za agano. \v 5 Juu ya sanduku la agano maumbo ya maserafi wa utukufu wafunika mabawa yao mbele ya kiti cha upatanisho, ambacho kwa sasa hatuwezi kuelezea kwa kina.

1
09/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Baada ya vitu hivi kuwa vimekwisha andaliwa, Makuhani kawaida huingia chumba cha nje cha hema kutoa huduma zao. \v 7 Lakini kuhani mkuu huingia kile chumba cha pili pekee mara moja kila mwaka, na pasipo kuacha kutoa dhabihu kwa ajili yake binafsi, na kwa dhambi za watu walizozitenda pasipo kukusudia.

1
09/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 9

View File

@ -102,6 +102,11 @@
"08-06",
"08-08",
"08-10",
"08-11"
"08-11",
"08-13",
"09-title",
"09-01",
"09-03",
"09-06"
]
}