Mon Sep 04 2023 15:43:27 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
948a96662c
commit
4d8a5600b7
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 19 Tunao ujasiri huu kama nanga imara na ya kutegemea ya roho zetu, ujasiri ambao unaingia sehemu ya ndani nyuma ya pazia. \v 20 Yesu aliingia sehemu ile kama mtangulizi wetu, akisha kufanyika kuhani mkuu hata milele baada ya utaratibu wa Melkizedeki.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 7 \v 1 Ilikuwa hivi Melkizedeki, mfalme wa Salemu, Kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Abrahamu akirudi kutoka kuwaua wafalme na akambariki. \v 2 Abrahamu alimpa moja ya kumi ya kila kitu alichokuwa amekiteka. Jina lake "Melkizedeki " maana yake" mfalme wa haki" na pia "mflame wa Salemu" ambayo ni "mfalme wa amani." \v 3 Hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku wala mwisho wa maisha yake. Badala yake, anabakia kuhani milele, kama mwana wa Mungu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Sasa fikiria jinsi huyu mtu alivyokuwa mkuu. Mzazi wetu Abrahamu alimpa moja ya kumi ya vitu vizuri alivyovichukua vitani. \v 5 Na hakika, ukoo wa Walawi waliopokea ofisi za kikuhani walikuwa na amri kutoka kwenye sheria kukusanya moja ya kumi kutoka kwa watu, ambayo ni, kutoka kwa Waisraeli wenzao, pamoja na kwamba wao, pia, ni ukoo kutoka kwa Abrahamu. \v 6 Lakini Melkizedeki, ambaye hakuwa wa ukoo kutoka kwa Walawi, alipokea moja ya kumi kutoka kwa Abrahamu, na akambariki, yeye aliyekuwa na ahadi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 7
|
|
@ -82,6 +82,10 @@
|
|||
"06-09",
|
||||
"06-11",
|
||||
"06-13",
|
||||
"06-16"
|
||||
"06-16",
|
||||
"06-19",
|
||||
"07-title",
|
||||
"07-01",
|
||||
"07-04"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue