ndj_mrk_text_reg/06/48.txt

1 line
375 B
Plaintext

\v 48 Na aliwaona wakitaabika kupiga makasia kw asababu ya upepo uliwazuia. Ilipokaribia asubuhi akawaendea, aktembea juu ya maji, na alitaka kuwapita. \v 49 Lakini walipomwona anatembea juu ya maji, wakaingiwa na wasiwasi wakidhani ni mzimu hata wakapiga kelele. \v 50 Kwa sababu walimwona wakajawa na hofu. Mara akasema nao akawaambia," Muwe wajasiri! ni nenga Msiwe hofu."