\v 56 Popote alipoingia katika vijiji, au mjini, au katika milima, waliweka wagonjwa mahali pasoko, na kumsihi awaruhusu kugisa pindo la vazi lake. na wote waliomgusa waliponywa.