# Kila wakati wao na mifugo yao na mahema walipokuja Nchi ya Midiani ilikuwa kusini mwa nchi ya Israeli pembeni mwa bahari ya Shamu. # walikuja kama kundi la nzige Wamidiani wanafananishwa na kundi la nzige kwa sababu walikuja na kundi kubwa la watu na wanayama wao walikula kilakitu kilichopandwa. # Haikuwezekana kuhesabu Hii inaonesha kuwa namba ilikuwa kubwa sana. # Midiani iliwadhoofisha "Midiani" inawakilisha watu wa Midiani. # Wakamwita Bwana "wakamwomba Bwana msaada"