# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Yerusalemu. # Kwa maana Muumba wako ni mume wako Yahwe kuwapenda na kuwatunza watu wake inazungumziwa kana kwamba alikuwa mume wao. # Muumba Muumba wa watu. # Yahwe wa majeshi Yahwe wa majeshi ya Israeli. # Mtakatifu wa Israeli Mtakatifu wa Israeli # Mkombozi Mkombozi wa Israeli # anaitwa Mungu wa ulimwengu wote Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "yeye ni Mungu wa dunia nzima" # Yahwe amekuita tena kama mke ... kama mwanamke aliyeolewa kijana na kukataliwa Yahwe kuwatuma watu wake katika uhamisho na kisha kuwarudisha inazungumziwa kana kwamba Yahwe alikuwa mume ambaye alimkataa mke wake lakini sasa anampokea. # na kuhuzunika rohoni Hapa "roho" inawakilisha kiumbe cha ndani cha mtu. "na kuhuzunishwa" au "na kuwa na huzuni"