# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. # Kama unasema kwenye moyo wako... usiogope Watu hawapaswi kuogopa hata kama wanagundua kwamba mataifa yako na nguvu kuliko wao. "Hata kama mnasema moyoni mwenu" # sema kwenye moyo wako "fikiri" # namna gani ataweza kuwafukuza wao? Musa atumia swali kusisitiza kwamba watu wataweza kujihisi kuogopa mataifa mengine. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Siwezi kuwashinda wao" # mtafikiri akilini Hii ni nahau. "unapaswa kukumbuka" # kile macho yenu yameona Hapa "macho" urejea kwa watu walichoona. # mkono hodaru, na mkono ulionyoka Hapa "mkono hodari" na "mkono ulionyoka" ni mifano ya nguvu ya Yahwe