# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea huko nyuma. # Macho yako yameona Hapa "macho" urejea kwa Yoshua.