# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza na Hosea kuhusu namna atakavyowafanyia Israeli. # Nitatampanda mwenyewe katika nchi Mungu atawaweka watu wake salama katika nchi yao tena. "Atawajali watu wa Israeli kama vile mkulima anavyopanda mazao yake na kujali" # Lo Ruhama Jina hili lina maana ya "hakuna huruma." # Lo Ami Hii ina maana ya "sio watu wangu." # Ami Ata Jina hili lina maana ya "wewe ni mtu wangu."