# Maelezo ya Jumla Sehemu ya Kwanza ya kitabu yaanza 1:2. # Wimbo wa Nyimbo "Wimbo ulio Bora" au Nyimbo iliyo Nzuri Sana" # ambao ni wa Sulemani "unao muhusu Sulemani" au "ambao aliutunga" # mafuta yako ya upako "Mafuta unayo paka mwilini mwako" # yana manukato mazuri "yanukia vizuri" # jina lako ni kama marashi yaeleayo Mwanamke anagundua kuwa mpenzi wake ana sifa nzuri. "jina lako ni zuri kama harufu ya mafuta mtu aliyo mimina # Nichukuwe nawe "Ni lete pamoja nawe." Neno "wewe" la husu mpenzi # tutakimbia Neno "tu" la husu mwanamke na mpenzi wake # kuhusu wewe "kwasababu yako" # acha ni shereheke "acha ni shereheke" # Ni halisi kwa wanawake wengine kukupenda "Wote wanao kupenda wako sahihi"