# roho yangu imedhoofika ndani yangu "niko mnyonge" au "nimekata tamaa sana" # unafahamu njia yangu "unafahamu njia nayopaswa kuchukua." Mwandishi anazungumza kana kwamba afanyacho mtu ni njia ambayo mtu amepitia. "unafahamu namna ninavyopaswa kuishi" # Katika njia nayopita wameficha mtego kwa ajili yangu Mwandishi wa zaburi anazungumzia watu kutaka kumdhuru kana kwamba walikuwa wakijaribu kutega mnyama. "Wanafanya mipango ili chochote nitakachofanya wanidhuru" # maisha yangu Hii ni njia nyingine ya kusema "mimi." # Nikakuita Huu ni wito wa msaada. "nikuita wewe kwa ajili ya msaada" # fungu langu Maana zinazowezekana ni 1)"ninachotaka" au 2) "ninachohitaji" au 3) "nilichonacho" # katika nchi ya walio hai "wakati niko hai"