# sanduku la agano Neno ''sanduku'' hapa linarejelea sanduku ambalo lina mbao za mawe # ukingo wa maji Inarejelea sehemu ya juu ya maji kama vile ilivyo katika ukingo wa kisima ambapo maji hutiririkia katika sehemu kavu # Yordani hujaa hadi katika kingo zake zote katika kipindi chote cha mavuno Haya ni maelezo ya msingi na yanakazia yale ambayo Yahweh anayafanya.