# Maelezo ya jumla Neno "sisi" ni wingi ikimaanisha Paulo, Timotheo na Filemoni. # Wewe Hapo na zaidi katika barua hii, neno" wewe" inamtaja Filemoni. # Kuwa na ufanisi katika ujuzi wa kila jambo jema Matokeo ya kujua kilicho chema # Katika Kristo "Kwa sababu ya Kristo" # mioyo ya waumini imekuwa ikitulizwa nawe "umewatia moyo waamini" au "umewasaidia waamini" # Ndugu "marafiki" Paulo anamuita Filemoni rafiki maana wote ni waamini na anasisitiza urafiki wao.