# Hapo mwanzo Ina maanisha mwanzoni kabisa ya wakati kabla Mungu hajaumba mbingu na nchi. # Neno Iina maanisha Yesu. Kama inawezekana litafsiri kama "Neno" Kama katika lugha yako "Neno" ni ngeli ya kike, inawe kufasiriwa kama "yule anayeitwa "Neno." # Vitu vyote viliumbwa kwa yeye Hii inaweza kufasiriwa katika hali tendaji. "Mungu alivifanya vitu vyote kwa yeye." # pasipo yeye hakuna hata kitu kimoja kilichofanyika ambacho kilichofanyika. Hii inaweza kufasiriwa katika hali tendaji. "Mungu hakufanya kila kitu chochote pasipo yeye" au " Mungu alifanya vitu vyote akiwa naye."