# Taarifa ya Jumla Usambamba ni kawaida katika shairi ya Kiebrania. # liite jina lake ... Jivunie katika jina lake takatifu Hapa "jina" inawakilisha Yahwe. "muite yeye ... Jivunie ndani ya Yahwe" # mataifa Hii ina maana ya watu katika mataifa. "watu wa mataifa" # acha moyo wa wale ambao humtafuta Yahwe washangilie Hapa "moyo" inawakilisha mtu ambaye humtafuta Yahwe. "acha watu ambao humtafuta Yahwe washangilie"