# Ashuri Hii inawakilishwa watu wa ashuri. "watu wa Ashuri" # uzao wa Lutu Hii inamaanisha watu wa mataifa ya Moabu na Amoni. # Sela Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.