# mfalme Daudi anajizungumzia mwenyewe. "Mimi, mfalme wa Israeli" # anayeapa kwake ... atajivunia naye Neno "kwake" inamaanisha Mungu. # lakini mdomo wa wale wanaozungumza uongo utasitishwa Hapa "mdomo" inamwakilisha mtu mzima. "lakini Mungu atawanyamazisha waongo wote" au "lakini Mungu atawanyamazisha wale wanaodanganya"