# Kwa muwa kutoka juu ya miamba ninamwaona ... kutoka juu ya milima ninamtazama Virai hivi viwili vinamaanishakitu kimoja. "Balaamu alimwona Israeli kutokea juu ya mlima." # Ninamwona ... ninamtazama Kiwakilishi cha "mwo" na "m" kinawakilisha Waisraeli. # Kuna watu "Kuna kundi la watu" # na hawajioni wenyewe kama ni taifa la kwaida "wanajiona wenyewe kuwa taifa maalumu"