# masikani iliposimamishwa "Walawi walipoisimamisha ile masikani" # ile hema ya amri ya agano Tazama 1:50 # Lilionekana kama moto mpaka asubuhi "Wakati wa usiku lile wingu lilionekana kama moto mkubwa mpaka asubuhi" # Liliendelea hivyo hivyo "Lile wingu lilibaki hivyohivyo juu ya masikani" # na kuonekana kama moto wakati wa usiku "lilionekana kama moto mkubwa wakati wa usiku." # Na kila wingu lilipochukuliwa "lilipoondolewa" au "BWANA alipoliondoa wingu" # wingu liliposimama "Wingu liliposimama kuendelea"