# Malkiya.... Rekabu.....Shalumu...Kolhoze Haya ni majina ya watu # Malkiya, mwana wa Rekabu, mtawala Malkiya alikuwa mtawala, alikuwa hapatikani. # mtawala "msimamizi mkuu" au "kiongozi" # Beth-Hakeremu Hili ni jina la sehemu # yeye ......kuweka milango yake "aliweka milango yake" au "akaweka milango yake mahali" # vyuma vyake na makomeo yake "kufuli na baa zake." Hizi zimefungwa malango salama. # Shalumu mwana wa Kolhoze, mtawala Shalumu alikuwa mtawala, sio Kolhoze # ukuta wa Pwani wa Silowamu Hii inamaanisha kuwa ukuta ulikuwa karibu na Pwani la Siloamu. AT "ukuta uliozunguka Pwani la Siloamu"