# Kamataarifa hii itmfikia liwali "Kama liwali atasikia haya kuwa mlikuwa mmesinzia wakati wanafunzi wa Yesu walipouchukua mwili" # Liwali "Pilato" # Tutamshawishi na kuwaaondoleeni ninyi mashaka "msihuzunike. tutongea naye ili asiwaadhibu" # na kufanya kama walivyokuwa wameelekezwa "walifanya kile ambacho makuhani waliwaambia kufanya" # Habari hii ikaenea sana kwa Wayahudi na imekuwa hivyo hadi leo "Wayahudi wengi waliisikia habari hii na wanaeendelea kuwaambia wengine hadi leo" # hadi leo Hii inamaanisha wakati Mathayo alipokuwa akiandika kitabu.