# katika namna ileile walijiingiza wenyewe kwenye Sodoma na Gomora waliishi katika dhambi ya zinaa katika namna hihyo hiyo kama malaika walivyo fuata njia za uovu. # kama mifano ya wale ambao huteseka katika hukumu ya moto wa milele Uharibifu wa watu wa Sodoma na Gomora ulifanyika mfano wa hatima ya wote wanao mkataa Mungu. # hawa pia walichafua "Hawa" ina rejea kwa watu wanaomkataa Mungu ambao huchafua miili yao kwa uasherati kwa namna hiyo wakitupa takataka kwenye mkondo inaweza kusababisha maji kuwa mabaya kunywa. # kuhusu wenye utukufu "kuhusu malaika wazuri wa Mungu"