# kauali unganishi Yuda antoa mifano ya kale ya wale ambao hawakumfuata Bwana. # Ngpenda kuwakumbusha "Ninataka ninyi mkumbuke" # mnajua kila kitu Yuda hasa anarejea kwenye maandiko ya Musa ambayo wamekwisha kufundishwa. Tafsiri mbadala: "mnayajua maandiko ya Musa." # Bwana aliwaokoa mara moja watu kutoka nchi ya Misri "Bwana aliwaokoa Waisraeli hapo zamani kutoka Misri" # lakini baadaye "muda ulivyo endelea " au " baada ya jambo fulani kutokea" # enzi yao wenyewe "nafasi zao" au "majukumu yaliowekwa kwao" # wakaacha wakazi yao maalum "waliacha nafasi zao wenyewe" # Mungu amewaweka katika vifungo vya milele katika giza "Mungu amewafunga malaika hawa ndani ya giza" # siku ile kuu siku ya mwisho ambayo Mungu huukumu watu wote