# Maelezo ya jumla Yoshua anaendelea kunukuu kile ambacho Yahweh alikisema katika kujishughulisha kwake na watu wake. # Seiri Jina la sehemu au mahali # Walishuka kwenda Misri ilikuwa ni sehemu ya chini katika mwinuko wa nchi ya Kanaani