# Je mtaacha mpaka lini katika kuingia nchi ambayo Yahweh, Mungu wa baba zenu, amewapeni ninyi? Yoshua aliuliza swali hili ili kuwatia moyo Waisraeli kuchukua umiliki wa nchi. # nchi juu na chini maneno "juu na chini" yana maana ya kila mwelekeo/sehemu # Wataandika maelezo pamoja na maelekezo kuhusu urithi Hii ina maana kwamba wataeleza sehemu za nchi ambazo kila kabila lingepokea kwa ajili ya urithi. # urithi wao Nchi ambayo watu watairithi inaongelewa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao wangeupokea kama mali yao ya kudumu