# Taarifa ya jumla" Bwana anazungumza juu ya Israeli. # uasherati, divai, na divai mpya, ambayo imechukua uelewa wao Watu wa Israeli wanafanya uzinzi nje ya ndoa na wanakunywa sana mvingo. Kwa kufanya hivi wamesahau amri za Bwana. # fimbo zao za kutembelea huwapa unabii Waabudu sanamu hutumia fimbo za kutembelea ili kutabiri yajayo. # mawazo ya uasherati yamewadanganya Kuabudu miungu na kulala na wanawake makahaba wa hekaluni inawzfanya watu wa Israeli watamani kuendelea kutenda dhambi dhidi ya Bwana. # yamewadanganya "kuwashawishi watu kufanya dhambi"