# Taarifa kwa ujumla Hii sehemu inaonyesha idadi ya majina ya Walawi ambao wanao walirudi kutoka mateka pamoja na idadi ya kila kikundi # Kadmiel...Hodavia...Shalumu...Talmoni,Akubu,Hatita, na Shobai majina ya wanaume # Sabini na nne nne** "74" # walinzi wale wahusika ambao huenda kupitia geti la Hekalu # Ateri jina la mtu