# Maelezo ya Jumla: Yehova anatoa mfano wa mtu anayegeuka kutoka katika haki na kuugeukia uovu. # je ataishi? "atakufa tu" # hatazingatiwa akilini "hatakumbukwa" # Uhaini kosa ambalo mtu hutenda dhidi ya nchi au dhidi ya Mungu kwa lengo la kusaliti na kujitwalia heshima. # hivyo atakufa katika dhambi anaoutenda "Hivyo, atakufa kwa ajili yadhambi alizozitenda"