# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuzungmza na Musa. # Oholiabu ... Ahisamaki Haya ni majina ya wanaume. # Nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima Mungu anazungumza kufanya watu kuweza kutengeneza vitu kana kwamba uwezo alikuwa anaweka kwenye mioyo yao. # hema la kukutania Hili ni jina lingine la maskani. # sanduku la ushuhuda Sanduku ni chombo kinacho hifadhi amri. # madhabahu ya kufukizia uvumba "madhabahu ya kuteketeza uvumba" # madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa "madhabahu ambayo sadaka ili teketezwa"