# Habari ya jumla Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja. # atainuka juu zaidi yako juu na juu; wewe mwenyewe utashuka chini na chini. Hii ni nahau inayomaanisha mgeni atakuwa zaidi na nguvu, pesa, na heshima kuliko Waisraeli. # atakuwa kichwa, nawe utakuwa mkia Hii inamaanisha mgeni atakuwa kiongozi wa Waisraeli.