# Maelezo ya jumla Baada ya Waisraeli kutoka Misri, walikaa miaka 40 wakizunguka zunguka jangwani kabla Mungu hajawaongoza kuingia katika nchi aliyokuwa amewaahidi kuwapa. # Huyu ni Musa ambaye walimkataa Hii inarejesha nyuma matukio yaliyotunzwa # Nani aliyekufanya mtawala na mwamuzi ? Hili swali lilitumika kumkemea Musa."Huna mamlaka juu yetu"! # Mtawala na mkombozi "Kutawala juu yao na kuwaweka huru kutoka kuwa watumwa" # Kwa mkono wa malaika "Kwa nguvu ya malaika" # Kipindi cha miaka arobaini "kipindi cha miaka arobaini ambacho watu wa Israeli waliishi jangwani" # Kutoka miongoni mwa ndugu zenu "kutoka miongoni mwa watu wenu kuwa Nabii"