# Kama Yahwe aishivyo, na kama bwana wangu mfalme aishivyo Hapa mwandisha anafanya ahadi ya dhadi. Analinganisha uhakika wa kutimiza ahadi kwa uhakika wa kuishi kwa mfalme na Yahwe. # mtumishi wako Itai anajitaja kwa heshima ya mfalme. # kwamba ni maisha au kifo "hata kama nitauawa nikikusaidia" # Nchi yote ikalia kwa sauti kuu Wengi wa watu wa Israeli walilia kwa sauti walipomwona mfalme akiondoka. Huku ni kutia chumvi kwamba nchi yote ililia. # kwa sauti kuu Hapa watu wengi waliokuwa wakilia wanatajwa kama walishirikiana sauti kuu. # Bonde la Kidroni Hili ni jina la eneo karibu na Yerusalemu