# Akalijenga korido la ndani "Sulemani alizijenga kuta za korido la ndani" au "wafanya kazi wa Sulemani wakazijenga kuta za korido la ndani" # mihimili ya mierezi Hizi ni mbao kubwakubwa za mierezi ambazo ziliwekwa kwa ajili ya kulinda kuta