# ata fanya moyo wake mgumu Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungmziwa kama moyo wake ni mgumu. # Israeli ni mwana wangu Neno "Israeli" hapa lina wakilisha watu wote wa Israeli. # ni mwana wangu, mzaliwa wangu wa kwanza Hapa watu wa Israeli wanazungumziwa kama wazaliwa wa kwanza anaye sababisha furaha na kiburi. # Nitaua mwanao hakika, mzaliwa wako wa kwanza Neno "mwana" hapa la husu mwana halisi wa Farao