# Maelezo ya Jumla: Yule kerubi wa Sura ya 10 akaondoka kwenye hekalu na karibu na utukufu wa Mungu. # magurudumu yaliyokuwa karibu nao Tazama tafsiri yake katika 1:15.