# Taarifa kwa ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Munsa yawapasayo watu kutenda. # Kuhani aliyepakwa mafuta ataleta damu Inamaanisha kwamba huyo kuhani aliikinga damu kwenye bakuli ilipotiririka # mbele ya pazia. Inamaanisha kwamba hili ni pazia mbele ya patakatifu pa patakatifu