# Kauli Unganishi: Malaika saba na mapigo saba wanatoka katika mahali patukufu zaidi. Zilizungumziwa katika 15:1. # Baada ya mambo hayo "Baada ya watu kumaliza kuimba" # malaika saba wenye mapigo saba Malaika hawa walionwa wakishilia mapigo saba kwa sababu walipewa mabakuli yaliojaa ghadhabu ya Mungu katika 15:7. # kitani nguo ya gharama iliyotengenezwa kwa kitani. # mishipi Mshipi ni kipande cha nguo cha urembo kinachovaliwa sehemu ya juu ya mwili.