# umejaa uaminifu wa agano na uaminifu Mungu kuwa mwaminifu kila wakati inazungumziwa kana kwamba uaminifu ni kitu ambacho Mungu ana kiasi kikubwa chake. # Geuka kwangu Kumwomba Mung kumzingatia inazungumziwa kana kwamba alimtaka Mungu amgeukie na kumwangalia. # mpe mtumishi wako nguvu yako "mwimarishe mtumishi wako" au "mfanye mtumishi wako kuwa imara" # mtumishi wako ... mwana wa mjakazi wako Mwandishi anajizungumzia mwenyewe katika hali ya mtu wa tatu. # na kuaibishwa "na wataaibika"