# tumefanya majivuno yetu "tumejivuna" # tutatoa shukrani kwa jina lako Hapa neno "jina" linamaanisha Mungu mwenyewe. "tutakupa shukrani wewe"