# nimekinyunyiza kitanda changu kwa "nimetandaza juu ya kitanda changu" # udi aina ya magamba kutoka kwenye mti ambayo hunukia vizuri # mdalasini hiki ni kiungo kinachotengenezwa kutokana na magamba ya mti ambayo hunukia vizuri na radha nzuri # tushibe kwa upendo "tufanye mambo ya upendo kwa kila mmoja kadri tunavyotaka"